top of page
Media (2).jpg

Lenat Store 🛍️ 

Rahisi na Haraka. Wakati Wowote, Mahali Popote — Duka Kiganjani!

MZIGO MPYA

kWA mAHITAJI YA nyumbani na ofisini, bila viwalo (SUITS) check hapa chini

Pillow.avif

Bidhaa za Majumbani

Weka Oda ya mito ya kisasa na Mats kama uonavyo hapa. Mats hizi zinauzwa kwa bei ya TSh 5000 (kwa Mat moja). Mito ya Kisasa kama hii ni TSh 10000.

OIP.jpg
OPO.webp
utra.webp

Vifaa vya Simu na Komputa

Hizi ni sampuli za mzigo mkubwa tulio nao wa screens za simu aina zote (androids na iphones) kwa bei nafuu sana. Kuanzaia TSh 6500

Suti za Kiume 

Je, Una mpongo wa kwenda kwenye sherehe? Au wewe ni mtu wa mitoko? Vipi pale kazini, ukivaa suti unakaaje? 

Lenat store inakuletea suti kwa ajili yako! Hizo zote bei ni TSh175000.

>> Kumbuka kwamba bei imeshushwa kutoka 180000.

Suit Men.avif
suit 1.jpg
suit 2.jpg

Kikoi orijino

Okoa 20% ya pesa yako kwa kununua kikoi bora kama hiki. Kimeshonwa na fundi bora mkoani Arusha.

Mzigo mpya

weavy-Gemini 3 (Nano Banana Pro)-2025-12-23 at 21.40.05.jpg

Taulo

Tsh 6500

Kutuhusu

Lenat Store ni kwa ajili yako! Tunawaletea wateja wetu bidhaa bora kwa urahisi na haraka zaidi kupitia duka letu la mtandaoni. Lengo letu ni kurahisisha ununuzi wako kwa kukusogezea bidhaa karibu na wewe, popote ulipo, bila usumbufu. Kupitia Lenat Store, tunahakikisha uzoefu wa ununuzi uliorahisishwa, wa kuaminika, na unaookoa muda—kwani kuridhika kwako ndiko kipaumbele chetu.

MAONI

5/5

Sarah M.

Zulia (Mat) zuri zaidi ambalo sijawahi kumiliki. Muundo wake, rangi, na uzito wake, kila kitu huhisi cha kifahari na halisi. Lina thamani ya kila senti. Kwa kweli linaleta hisia ya uzuri wenye utulivu nyumbani kwangu. Asanteni Lenat Store!

Mwambene C.

5/5

Nimepata ninachohitaji! Taulo ni laini sana na hunyonya maji vizuri. Rangi zake nzuri pia, na nina imani zitadumu kwa miaka mingi ijayo.

David L.

5/5

Nilipata hapa adapta ya kompyuta yangu. Ingawa nilitembea mji mzima bila mafanikio, sikuipata hadi nilipotembelea Lenat Store.
bottom of page